NORTHERN HIGHLANDS SHOLARSHIPS – (UFADHILI WA MASOMO)

Chuo cha Afya Kilimanjaro Institute kushirikiana na Northern Highlands Scholarship Program (NHSP) Kutoka ML2 3LP Milton Keynes UK. wanakupa nafasi ya UFADHILI kwa wanafunzi watakaohamia Kwa mwaka wa pili na wa tatu katika chuo cha Kilimanjaro institute kilichopo Dar es Salaam.

UFADHILI huu umekuja ili kuwapa unafuu wa Ada wanafunzi walioko kwenye masomo tayari na walikwama Ada kwa namna moja ama nyingine

UFADHILI utatolewa Kwa kipindi chote mwanafunzi alichobakiza cha masomo. Wahi sasa nafasi ni chache mwisho ni tarehe 30/09/2024.

Download “form” Northern-highland-Scholarship-Application.pdf – Downloaded 39 times – 272.71 KB